Ushirika wa Biblia Ki-Mtandao katika lugha ya Kiswahili

Karibu Ushirika wa Biblia Ki-Mtandao. Enzi ya kanisa imekwisha lakini ushirika unaendelea.

SIKU YA HUKUMU! MEI 21, 2011; MWISHO WA DUNIA OKTOBA 21, 2011 – Lengo la kiperushi hiki ni kukuarifu juu ya uharaka mkubwa uliopo sasa duniani kwa kila mtu kupatana na Mungu.

Family Radio – Mafundisho mengine mengi ya Injili yaliyo maaninifu yanapatikana bure toka Redio ya Jamii.

Kwa habarizaidi,tafadhali tembelea mtandao wetu katika lugha ya Kiingereza.

Waweza tuma ujumbe, kuuliza swali au kutoa maoni kwa:

  www.ebiblefellowship.com/contactus

au tuandikie kupitia anuani ifuatayo:

EBible Fellowship, P.O. Box 1393, Sharon Hill, PA 19079 USA

Zaburi 119:97 Sheria yako naipenda mno ajabu! Ndio kutafakari kwangu mchana kutwa.